Pinned

#

Contact Us

 FOR MUSIC PROMOTION AND ARTISTS / KWA MATANGAZO YA MUZIKI NA WASANII. 

Je Wewe ni msanii na unahitaji kuteka soko la muziki Duniani, Basi muzikiwetu.com ni suluhisho pekee la kufanya wewe kama msanii kuweza kufikia malengo yako kwa haraka sana tena kwa kiasi kidogo cha fedha.

Muzikiwetu.com ni tovuti yenye watembeleaji wengi sana kwa sasa kutokana na ubora wa kazi zake, hivyo ukiweka nyimbo yako hapa hakika lazima utapata umaarufu mkubwa sana.

Utakapotuma nyimbo yako hapa muzikiwetu.com tutaweza kukuunganisha na masoko makubwa ya muziki duniani kwa kukusaidia kuweka nyimbo yako kule ambapo utakua umeteka soko la nyumbani na la nje pia kwa wakati mmoja.

Muzikiwetu.com hailengi kufanya biashara tu bali kuinua wasanii wadogo na kuwawezesha kufikia malengo yao katika muziki wetu huu wa sasa.

Msanii atalipia Fedha za Kitanzania Taslimu 10,000/= Tu, Ni kiwango kidogo sana cha fedha ukilinganisha na tovuti nyingine huku tukihakikisha unateka soko kubwa la muziki duniani na hapa pia. 

Je Unahitaji kujua faida nyingi zaidi za kufanya kazi na muzikiwetu.com
TUPIGIE LEO KUPITIA - 0746662065
WHATSAPP NO - 0746662065
TEXT MESSAGE - 0746662065
EMAIL - muzikiwetu2@gmail.com

KUMBUKA:

Ni Tsh 10,000/= Tu na nyimbo yako itaweza kuonekana kwenye tovuti yetu na nyingine kubwa duniani kama inavyoonekana hapa chini.


 FOR BUSINESS PROMOTION / KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA. 

Je Unataka kukuza biashara yako na iwafikie watu wengi zaidi kwa hapa Tanzania na Nchi za jirani, Weka Tangazo la biashara yako hapa kwenye tovuti yetu na kwa bei ndogo pia utaweza kujulikana kwa mda mfupi sana.
Wasiliana Nasi Kupitia:

PHONE NO: 0746662065

Email: muzikiwetu2@gmail.com


 FOR MUSIC COVERS DESIGN / KWA UTENGENEZAJI WA COVER ZA NYIMBO. 

Kwa Mahitaji ya Cover Nzuri za nyimbo zenye ubora wa hali ya juu na zenye kuvutia pia, wasiliana nasi kupitia 0746662065.


FOR OTHER THINGS / KWA MAMBO MENGINE. 

Kwa maswali, maoni na Ushauri kwa muzikiwetu.com usisite kututafuta leo;

PHONE NO: 0746662065
Email: muzikiwetu2@gmail.com